HALI YA VIJANA TANZANIA 2018
Restless Development
2018
Mwaka 2015, Shirika la Restless Development kwa kushirikiana na asasi mbalimbali za kiraia zikiwemo TYVA, FEMINA, TAMASHA, YOA, YUNA, ZAFAYCO na Salama Foundation walifanya utafiti wa kung’amua vipaumbele vya vijana kwa lengo la kuainisha na kuandaa ilani ya vijana, chapisho ambalo linatoa mapendekezo ya vijana yanayotokana na maoni yao juu ya masuala ambayo ni ya
Download Document