Sauti Moja

Sauti Moja ni mazungumzo yakidemokrasia yanayokutanisha vijana kutoka sehemu mbalimbali wakizungumzia demokrasia, hususani Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania yao kwa njia ya michezo..
Vijana wakizungumzia Haki za binadamu na haki nyinginezo. Sauti Moja ni mazungumzo yakidemokrasia, yanayokutanisha vijana kutoka sehemu mbalimbali wakizungumzia demokrasia yao hususani katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa njia ya maswali na michezo.
Maisha yetu na kujitolea kwetu vijana inathamani katika mchango wa Taifa
Uongozi na maadili, pamoja na afya ya uzazi tunavizungumziaje vijana?
Vijana wakibainisha ishu ya madawa yakulevya na ukosefu wa ajira. SAUTI MOJA TZ: Unajua vijana wanakwamishwa na mambo gani kimaendeleo? Wasikilize vijana hawa wakipendekeza kuhusushwa kwenye katiba.
Vijana wakichambua elimu, sanaa na ushirikishwaji katika michezo Sauti Moja ni show yakidemokrasia inayokutanisha vijana kutoka sehemu mbalimbali wakiichambua demokrasia yao hususani katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.